LICHA ya kuwa katika ngome yao Uwanja wa Anfield walitunguliwa na wageni Real Madrid.
Baada ya dakika 90 ubao umesoma Liverpool 2-3 Real Madrid ikiwa ni mchezo wa UEFA Champions League.
Mabao ya Darwin Nunez alipachika bao dakika ya 4 kisha Mohamed Salah alipachika bado dakika ya 14 yakiwa ni mabao pekee Kwa Liverpool.
Vini Jr alipachika kambani mabao mawili dakika ya 21 na 36 huku Eder Militao alipachika bao dakika ya 47 Karim Benzema alitupia kambani mbili dakika ya 55 na 67.