KIKOSI cha Simba leo kina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Azam FC.
Mchezo huo ni wa ligi ikiwa ni mzunguko wa pili na kikosi ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:-
Aishi Manula, Shomari Kapombe, Kennedy Juma,Hennock Inonga,Sadio Kanoute,Pape Sakho, Mzamiru Yassin,John Bocco, Saido Ntibanzokiza na Clatous Chama
Akiba
Beno, Israel, Outtara,Mkude,Kibu,Kapama,Baleke,Habibu, Phiri