SIMBA YACHEZEWA MPIRA NA KUCHAPWA KWA MKAPA
MCHEZO wake wa kwanza ikiwa Uwanja wa Mkapa kwenye anga za kimataifa kwa mwaka 2023 inapoteza. Ni kipigo kinachovunja rekodi yake tamu ya kutofungwa ikiwa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 kusoma Simba 0-3 Raja Casablanca. Kipindi cha kwanza Raja Casablanca walianza kwa utulivu mkubwa na walipata bao moja la kuongoza huku Simba wakikosa…