MAJEMBE HAYA YA KAZI KAMILI SIMBA KUIVAA HOROYA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kilakitu kinakwenda sawa na wachezaji wote wapo tayari. “Wachezaji wetu ambao tuliwakosa kwenye mchezo uliopita dhidi ya…

Read More

WINGA TP MAZEMBE AIPENYEZEA YANGA SIRI ZA USHINDI

WINGA wa zamani wa Yanga na TP Mazembe, Chiko Ushindi Wakubanza, amesema kama Yanga watapambana zaidi na kucheza kwa moyo mmoja, basi watapata matokeo mazuri mbele ya TP Mazembe, huku akibainisha kwamba. Ushindi ambaye aliitumikia Yanga msimu uliopita kwa mkopo akitokea TP Mazembe, kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Don Bosco ya nchini DR Congo…

Read More

CAF AFICANSCHOOLS FOOTBALL LEO NI LEO CHAMAZI

MASHINDANO ya vijana wa shule za Afrika Mashariki (CECAFA) yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi rasmi leo Ijumaa katika Uwanja wa Azama Complex Chamanzi. Mashindano hayo ambayo yanatarajiwa kufanyika kwa siku tatu yanashirikisha jumla ya nchi nane kutoka Afrika mashariki na kati huku Tanzania akiwa ndio mwenyeji wa michuano hiyo. Hizi ni mechi za Kanda za kufuzu…

Read More

POROJO HAZIJENGI, KIMATAIFA VITENDO ZAIDI KWA MKAPA

KIKOMBE wanachokutana nacho wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa ni cha moto ni muhimu kukishika kwa tahadhari na sio porojo. Kwa Yanga ambao Jumapili watacheza dhidi ya TP Mazembe na Simba ambao watacheza dhidi ya Raja Casablanca wote wapo kwenye eneo gumu na wasipofanya maandalizi mazuri itakuwa ngumu kwao kupenya. Nafasi za kushinda ni…

Read More

BARCELONA NA MAN U NGOMA NZITO

NGOMA ilikuwa ni nzito kwenye mchezo wa Europa League baada ya wababe wawili kutoshana nguvu kwenye mchezo huo. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Cam Nou ulisoma Barcelona 2-2 Manchester United. Ni mashuti 18 timu zote mbili zilipiga kuelekea kwenye lango la wapinzani wao huku Barcelona wao mashuti 8 yakilenga lango alilikuwa Degea…

Read More