YANGA WAZIDI KUTANUA ANGA KIMATAIFA
RAIS wa Yanga, Eng Hersi Said ameitembelea Klabu ya Royal FC inayoshiriki Ligi daraja la tatu kwenye Umoja wa Falme za Kiarabu. Mmoja wa wamiliki wa Royal FC, iliyoanzishwa mwaka huu, Ali Mohammed Bujsaim, miongoni mwa marefa wenye heshima kubwa duniani. Refa huyo ana rekodi ya kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia mara tatu [1994,1998,2022]….