Skip to content
Monday, February 16, 2026
  • Yanga Yalenga Daraja la Tatu na La Nne la Uwanja wa CAF
  • Hatua ya Makundi CAFCL Kuhitimishwa Leo, Yanga Kwenye Mtihani Mgumu
  • Leo Uwanjani Ulaya: Mechi Tatu za Moto za Serie A na LaLiga
  • Mapinduzi Ya Kasino Mtandaoni Yanadhaminiwa Na Ruby Play Meridianbet

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Yanga Yalenga Daraja la Tatu na La Nne la Uwanja wa CAF
  • Hatua ya Makundi CAFCL Kuhitimishwa Leo, Yanga Kwenye Mtihani Mgumu
  • Leo Uwanjani Ulaya: Mechi Tatu za Moto za Serie A na LaLiga
  • Mapinduzi Ya Kasino Mtandaoni Yanadhaminiwa Na Ruby Play Meridianbet

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2023
  • January
  • 15
  • ARSENAL HAWAZUILIKI
  • Sports

ARSENAL HAWAZUILIKI

Saleh3 years ago01 mins

ARSENAL hii ya Mikel Arteta ukigoma kufungwa unajifu ga mwenyewe kisha wanakufunga.

Imekuwa hivyo ugenini baada ya dakika 90 ubao umesoma Tottenham 0-2 Arsenal.

Ni bao la Hugo LIoris dakika ya 14 alijifunga na Martin Odegaard dakika ya 36.

Arsenal inafikisha pointi 47 ikiwa inaongoza ligi huku Tottenham ikiwa nafasi ya 5 na pointi 33.

Post navigation

Previous: MZEE WA KUWAJAZA APEWA MKONO WA ASANTE JANGWANI
Next: MUSONDA AANZA MATIZI YANGA

Related News

Yanga Yalenga Daraja la Tatu na La Nne la Uwanja wa CAF

Saleh15 hours ago 0

Hatua ya Makundi CAFCL Kuhitimishwa Leo, Yanga Kwenye Mtihani Mgumu

Saleh16 hours ago 0

Leo Uwanjani Ulaya: Mechi Tatu za Moto za Serie A na LaLiga

Saleh1 day ago16 hours ago 0

Sundowns Wapeleka Salamu Nzito kwa Wapinzani, Yatinga Robo

Saleh1 day ago 0
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.