CHUMA KIPYA CHATAMBULISHWA IHEFU FC
ADAM Adam nyota wa zamani wa kikosi cha JKT Tanzania kwa sasa atakuwa ni mali ya Klabu ya Ihefu. Nyota huyo anaibukia ndani ya Ihefu FC akitokea kikosi cha Mtibwa Sugar chenye maskani yake pale Morogoro. Leo Januari 11,2023 Ihefu wamemtambulisha rasmi mshambuliaji huyo. Ni moja ya washambuliaji wazawa wenye uwezo mkubwa uwanjani na alikuwa…