>

HAKUNA AZIZ KI, HAKUN MAYELE YANGA MAPINDUZI CUP

BAADA ya kumaliza mchezo wa funga mwaka dhidi ya Mtibwa Sugar nyota Fiston Mayele ni miongoni mwa wale ambao wamepewamapumziko. Katika msafara wa leo wa kikosi cha Yanga ulioelekea Zanzibar, Mayele hakuwa kwenye kikosi hicho. Nyota wengine ni Aziz KI, Kibwana Shomari, Khalid Aucho, Yannick Bangala ambapo wote hawa wamepewa mapumziko. Kwa mujibu wa meneja…

Read More

SIMBA KUIBUKIA ZANZIBAR

MABINGWA watetezi wa Kombe la Mapinduzi Simba leo Januari 2,2023 wanatarajiwa kuanza safari kuelekea Zanzibar. Chini ya Kocha Mkuu mzawa Juma Mgunda kikosi hicho kinaelekea kuanza safari ya kutetea taji lao pekee ambalo walitwaa 2022. Ikumbukwe kwamba Simba ilishinda bao 1-0 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa na bao pekee la…

Read More

MSHAMBULIAJI YANGA NI COASTAL UNION

MSHAMBULIAJI Yusuph Athuman ambaye ni mali ya Yanga kwenye mzunguko wa pili atakuwa ndani ya kikosi cha Coastal Union. Coastal Union wamemchukua nyota huyo kwa mkopo ili kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji. Hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza cha Yanga kutokana na ushindani wa namba ambapo ni Fiston Mayele alikuwa akianza kikosi cha kwanza.

Read More

MEZA YAPINDULIWA KIBABE KWA CHELSEA UGENINI

NYOTA Serge Aurier bao lake la kwanza akiwa na Nottingham Forest dakika ya 63 liliuzima mkwaju wa Raheem Sterling  dakika ya 16 na kuwafanya wasumbufu hao wa Premier League kupata sare ya kufungana  1-1 waliyostahili dhidi ya Chelsea.  Mchezo huo ulichezwa  kwenye Uwanja wa City Ground.  Forest waliingia uwanjani wakijua ushindi ungewaondoa kwenye eneo la kushushwa daraja lakini…

Read More

KOCHA HUYU HAPA KUTAMBULISHWA SIMBA

ROBERTINHO Oliviera raia wa Brazil anatajwa kumalizana na mabosi wa Simba kwa ajili ya kupewa mikoba ya Zoran Maki. Ikumbukwe kwamba baada ya Maki kusepa ndani ya kikosi cha Simba mwanzoni mwa msimu wa 2022/23 alikabidhiwa timu Juma Mgunda ambaye alitajwa kuwa atakuwa ni kocha mkuu wa muda. Kocha huyo alikuwa anainoa timu ya Vipers…

Read More