>

MGHANA ABADILISHIWA MAJUKUMU SIMBA

KOCHA Mkuu wa Simba Juma Mgunda, amesema amembadilishia majukumu ya uchezaji kiungo wa timu hiyo, Augustine Okrah raia wa Ghana kutoka namba kumi nakumpeleka winga moja kwa moja ambapo anafanya vizuri. Mghana huyo ni kati ya wachezaji wapya waliosajiliwa na Simba msimu huu kwa ajili ya kukiongezea nguvu kikosi hicho. Kiungo huyo katika michezo mitatu…

Read More

YANGA NGOMA NGUMU MBELE YA WAARABU

MCHEZO wa mtoano Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa Uwanja wa Mkapa, Yanga imekubali ubao kusoma 0-0 Club Africain na kufanya ngoma kuwa ngumu ikiwa nyumbani. Ulikuwa ni mchezo wazi kwa timu zote mbili ambazo zilikuwa kwenye msako wa ushindi kupiga hatua moja kuelekea kwenye hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho. Kete ya kwanza ya…

Read More

KIBU MSHAMBULIAJI WA SIMBA MAMBO BADO KWAKE

BADO hajawa tegemeo ndani ya kikosi cha Simba msimu huu kwenye safu ya ushambuliaji ambapo kwenye mabao 17 yaliyofungwa na timu hiyo katoa pasi moja ilikuwa dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine alimpa mshikaji wake Jonas Mkude. Mchezo huo ulikuwa ni wa kwanza wa Kocha Mkuu Juma Mgunda kuongeza kwenye ligi baada ya kupewa…

Read More

YANGA:WACHEZAJI WAMEKUBALIANA KUFANYA KWELI KIMATAIFA

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa wachezaji wote wamekubaliana kufanya vizuri kwenye mechi za mtoano ili kufika mbali kimataifa. Yanga leo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa mtoano dhidi ya Club Africains mchezo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.  Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wachezaji wote wana morali kubwa kuelekea mechi…

Read More

KOCHA MTIBWA AFICHUA UBORA WA SIMBA ULIPO

SALUM Mayanga, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa ubora wa Simba umejificha kwenye safu ya viungo jambo linalowafanya wacheze kwa kujiamini kila wanapokuwa na mpira. Juzi, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa huku nyota wawili wa Mtibwa Sugar wakionyeshwa kadi nyekundu. Mayanga amesema…

Read More

NABI: WACHEZAJI WOTE WAPO TAYARI KIMATAIFA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kwa mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain. Ni Uwanja wa Mkapa ukiwa ni mchezo wa mtoano wa kwanza na ule wa pili tachezwa nchini Tunisia. Kocha amesema:”Wachezaji wako tayari na wameahidi kupambana, tunaomba sapoti kwa mashabiki wetu kujitokeza…

Read More