UWANJA wa CCM Kirumba dakika 45 za mwanzo zimemeguka kwa wachezaji kuvuja jasho katika msako wapointi tatu.
Ubao unasoma KMC 0-1 Simba bao likifungwa na John Bocco dakika ya 15.
David Mapigano kwenye mapigano ya kuokoa hatari hakuwa na chaguo la kufanya zaidi ya kuhushudia mpira ukiwa umezama nyavuni.