KAGERA V SIMBA NGOMA NZITO KAITABA POINTI MOJAMOJA WAGAWANA
IKIWA ni kumbukizi yake leo Desemba 21 ya kuletwa duniani kiungo Pape Sakho kashuhudia timu yake ya Simba ikigawana pointi mojamoja na Kagera Sugar. Moja ya mchezo uliokuwa ni wazi kwa timu zote mbili kusepa na pointi tatu muhimu lakini umakini wa safu za ushambuliaji kwa timu zote mbili ulikuwa ni hafifu. Ni Deus Bukenya…