>

AZIZ KI ATAJWA KICHAPO CHA KURUGENZI

KOCHA msaidizi wa Kurugenzi FC, Bernard Magogo amesema kuwa sababu kubwa iliyowavuruga wachezaji wake wakapoteza kwa kufungwa mabao 8-0 ni safu ya kiungo ya Yanga iliyokuwa inaongozwa na Aziz KI. Desemba 11,2022 Kurugenzi FC ilikubali kupoteza mchezo wa raundi ya Pili jambo lililoifanya ikafungashiwa virago na mabingwa watetezi.  Magogo amesema kuwa walikuwa na mbinu walizopanga…

Read More

MAKUNDI TAYARI YAMESHAPANGWA, MAISHA YAENDELEE

KWENYE ulimwengu wa mpira kwa sasa kinachozungumzwa ni kuhusu makundi ambayo yamepangwa huko Misri ambapo wawakilishi wa Tanzania kila mmoja ameona atakayecheza naye. Simba yupo kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na Yanga yupo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, hapa kazi ipo hasa ukizingatia inapokuja suala la mashindano ya kimataifa ni lazima kila mmoja afanye kweli….

Read More