YANGA ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons inayozihitaji pia pointi hizo.
Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza namna hi:-
Djigui Diarra
Kibwana Shomari
Joyce Lomalisa
Yannick Bangala
Ibrahim Bacca
Khalid Aucho
Feisal Salum
Tuisila Kisinda
Clement Mzize
Aziz Ki
Dickson Ambundo