BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo Alhamisi, Desemba 1, 2022 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2021 (Matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2022)
NECTA YATANGAZA MATOKEO DARASA LA SABA 2022, YATAZAME HAPA