
VIDEO: MASHABIKI WALIA NA NABI KIMATAIFA
MASHABIKI wa Yanga wamemuomba Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi aondoke kwa kile wanachoeleza kuwa anashida kwenye mechi za kimataifa huku wakihoji kwa nini wengine waweze huku wao wakishindwa
MASHABIKI wa Yanga wamemuomba Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi aondoke kwa kile wanachoeleza kuwa anashida kwenye mechi za kimataifa huku wakihoji kwa nini wengine waweze huku wao wakishindwa
BAADA ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 0-0 Club Africain, shabiki wa Yanga amepatwa igugumizi huku akisema kuwa ndo basi tena
KOCHA Mkuu wa Simba Juma Mgunda, amesema amembadilishia majukumu ya uchezaji kiungo wa timu hiyo, Augustine Okrah raia wa Ghana kutoka namba kumi nakumpeleka winga moja kwa moja ambapo anafanya vizuri. Mghana huyo ni kati ya wachezaji wapya waliosajiliwa na Simba msimu huu kwa ajili ya kukiongezea nguvu kikosi hicho. Kiungo huyo katika michezo mitatu…
BOSI Yanga ampa ujanja Nabi, Mgunda aitaka rekodi Simba ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
MCHEZO wa mtoano Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa Uwanja wa Mkapa, Yanga imekubali ubao kusoma 0-0 Club Africain na kufanya ngoma kuwa ngumu ikiwa nyumbani. Ulikuwa ni mchezo wazi kwa timu zote mbili ambazo zilikuwa kwenye msako wa ushindi kupiga hatua moja kuelekea kwenye hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho. Kete ya kwanza ya…
BADO hajawa tegemeo ndani ya kikosi cha Simba msimu huu kwenye safu ya ushambuliaji ambapo kwenye mabao 17 yaliyofungwa na timu hiyo katoa pasi moja ilikuwa dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine alimpa mshikaji wake Jonas Mkude. Mchezo huo ulikuwa ni wa kwanza wa Kocha Mkuu Juma Mgunda kuongeza kwenye ligi baada ya kupewa…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa wachezaji wote wamekubaliana kufanya vizuri kwenye mechi za mtoano ili kufika mbali kimataifa. Yanga leo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa mtoano dhidi ya Club Africains mchezo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wachezaji wote wana morali kubwa kuelekea mechi…
HATURUDII makosa, Hassan Dilunga afichua siri ya kambi Simba, ndani ya Championi Jumatano
Kila mmoja ni Bingwa kwenye uwanja wake! Meridianbet walitoa nafasi ya kutamba ukibashiri kwa USSD bila kutumia Intaneti, ukibeti na kitochi au Simu janja, na ndivyo walivyofanya ndugu Godson Alex wa Chalinze-Ubena Nzomonzi na Denice wa Shinyanga Mjini. Ile promosheni iliyokuwa ikifanyika pale nyumba ya Mabingwa wa kubashiri Tanzania na Afrika Mashariki, Meridianbet hatimaye jana…
AHMED Abdallah mchambuzi wa masuala ya michezo ametoboa suala la Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi kuondoka
WAPINZANI wa Yanga, Club Africain kesho wanatarajia kumenyana na Yanga mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa, haya hapa mazoezi yao ya mwisho namna hii
SALUM Mayanga, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa ubora wa Simba umejificha kwenye safu ya viungo jambo linalowafanya wacheze kwa kujiamini kila wanapokuwa na mpira. Juzi, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa huku nyota wawili wa Mtibwa Sugar wakionyeshwa kadi nyekundu. Mayanga amesema…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema waliomba kupewa muda wa kufanya maandalizi kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wao Club Africain lakini hawakujibiwa hivyo kwa sasa wanajaandaa kwa muda ambao upo na mechi zikiwa zimepangana
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kwa mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain. Ni Uwanja wa Mkapa ukiwa ni mchezo wa mtoano wa kwanza na ule wa pili tachezwa nchini Tunisia. Kocha amesema:”Wachezaji wako tayari na wameahidi kupambana, tunaomba sapoti kwa mashabiki wetu kujitokeza…
YANGA wamepewa mbinu sita ili wafanikiwe kutusua kwenye Kombe la Shirikisho Afrika namna hii
HASSAN Dilunga kiungo wa Simba ameweka wazi kuwa kwa sasa yupo chini ya uangalizi wa madokta ambao wao wanajua huku akiendelea na program ya mazoezi kama kawaida na kubainisha kuwa kwa sasa anapitia kwenye kipindi cha ibada
MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo, Ahmed Abdallah ameweka wazi kuwa kuna wakati maamuzi yanapaswa kufanyika huku suala la Usimba na Yanga likiwekwa pembeni