YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kinachotarajiwa kuanza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu hiki hapa:-
Diarra Djigui
Kibwana Shomari
Lomalisa Mutambara
Dickson Job
Yannick Bangala
Zawad Mauya
Kalid Aucho
Sure Boy
Fiston Mayele
Jesus Moloko
Tuisila Kisinda