
YANGA YAITUNGUA MBEYA CITY KWA MKAPA
FISTON Mayele amefikisha mabao 10 kwenye Ligi baada ya leo kutupia mabao mawili mbele ya Mbeya City. yanga imesepa na pointi tatu jumlajumla za Mbeya City kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambapo alifunga bao la kwanza dakika ya 24 na lile la pili dakika ya 70. Ushindi huo unaifanya Yanga kufikisha jumla ya mechi…