NABI AWAPA TANO KAGERA SUGAR
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amewapa pongezi Kagera Sugar kwa kuonyesha ushindani kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Dakika 90 zimekamilika, ubao umesoa Kagera Sugar 0-1 Yanga bao ambalo lilifungwa mapema kipindi cha kwanza. Ni Clemet alipachika bao hilo dakika ya 18 lililomshinda kipa wa Kagera Sugar Said Kipao. Kipindi cha…