>

SAKHO AIPA POINTI TATU SIMBA

KIUNGO wa Simba, Pape Sakho leo Novemba 12,2022 amefunga bao lake la tatu ndani ya Ligi Kuu Bara.

Ni bao la ushindi pia kwa Simba wakati ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa.

Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa pongezi kwa wachezaji kufanikisha mpango wa kupata pointi tatu.