BRIGHTON WAWAONDOA ARSENAL CARABAO
VIJANA wa Brighton wameibuka na ushindi wakiwa ugenini dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Carabao. Ubao ulisoma Arsenal 1-3 Brighton na kuwafanya wawaondoe Arsenal kwenye kuwania taji la Carabao. Ni mabao ya Danny Welbeck dakika ya 27 kwa mkwaju wa penalti, Kaoru Mitoma dakika ya 58 na Tariq Lamptey dakika ya 71. Bo pekee la…