KIMATAIFA:CLUB AFRICAIN 0-0 YANGA

DAKIKA 45 za kimataifa ugenini huku mpira wa darasani ukionekana kwa timu zote mbili kwenye mchezo wa Kome la Shirikisho Afrika.

Ubao unasoma Club Africain 0-0 Yanga

Kibwana Shomari ni miongoni mwa wazawa ambao wameonyesha kiwango kizuri kwenye mchezo wa leo akiwa amepiga mashuti mawili ambayo yamelenga lango.

Pia eneo la kiungo yupo Sure Boy ambaye naye yupo kwenye ubora wake.

Kwa upande wa safu ya ushambuliaji Fiston Mayele ameanza.