YANGA YATINGA MAKUNDI KIMATAIFA UGENINI
YANGA wameandika historia kwa kupata ushindi ugenini na kutinga hatua ya makundi kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Ushindi pekee umepatikana kipindi cha pili kupitia kwa kiungo wa Yanga Aziz KI ambaye alianzia benchi kwenye mchezo wa leo. Dakika 45 za awali ni beki Kibwana Shomar alikuwa ni mwiba kwa wapinzani wao Club Africain ambapo alipiga…