ARSENAL WASHINDA DARAJANI SASA NI NAMBA MOJA
WAKIWA Uwanja wa Stamford Bridge, Arsenal wamesepa na pointi tatu jumlajumla kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Chelsea. Bao pekee la ushindi limefungwa kipindi cha pili baada ya dakika 45 za mwanzo ngoma kuwa nzito kwa wote. Ni Gabriel amepeleka furaha Arsenal kwa kupachika bao hilo dakika ya 63 na kuwafanya mashabiki kushangilia kwa…