MCHEZO WA COASTAL UNION V DODOMA JIJI KUPANGIWA TAREHE
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Coastal Union v Dodoma Jiji kwa sasa utapangiwa tarehe nyingine baada ya ile ya awali kushindikana. Novemba 5,2022 mchezo huo ulipaswa kuchezwa kwa wababe hao kusaka pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90. Ni Uwanja wa Mkakwani Tanga mchezo huo ulipaswa kuchezwa ambapo timu zote zilikuwa zimefanya maadalizi…