WAKATI leo Simba ikitarajiwa kumenyana na Yanga huenda hiki hapa kikawa kikosi ambach kinaweza kupangwa na Kocha Mkuu wa Simba Juma Mgunda namna hii:-
Aishi Manula
Israel Mwenda
Henock Inonga
Joash Onyango
Zimbwe
Sadio Kanoute
Mzamiru Yassin
Clatous Chama
Kibu Dennis
Moses Phiri
Okra
Una maoni tofauti na haya?