SportsWAFAHAMU WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA Saleh2 years ago01 mins KWENYE anga la kimataifa Yanga itashiriki Kombe la Shirikisho baada ya kukwama kutinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Ifahamu Club Africains kutoka Tunisia ambao ni wapinzani wa Yanga katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Post navigation Previous: HAWA HAPA MASTAA WA SIMBA WAANDALIWA KUIKABILI YANGANext: BEKI WA KAZI SIMBA AREJEA, TAYARI KWA YANGA