ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema Jumapili mashabiki wa Yanga watakuwa na furaha kuanzia saa 2:00 usiku huku akiweka wazi kuwa utani wa jadi lazima uendelee huku watani zao wa jadi watakuwa na kazi kwenye hatua ya makundi kwani kuna hatihati ya kuweza kukutana na Al Ahly ama Zamalek