SportsBEKI WA KAZI SIMBA AREJEA, TAYARI KWA YANGA Saleh2 years ago01 mins BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda ameanza kurejea kwenye ubora wake kwa ajili ya kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 23. Post navigation Previous: WAFAHAMU WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFANext: VIDEO: KMC YAIPIGA MKWARA YANGA, YAJIVUNIA USAJILI WAO