BENZEMA ATWAA TUZO KUBWA KWA MARA YA KWANZA

NYOTA wa kimataifa Karim Benzema ameshinda tuzo ya Ballon d’Or kwa upande wa wanaume kwa mara ya kwanza baada ya msimu mzuri akiwa na timu ya Real Madrid. Timu hiyo imeweza kunyakua taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kushinda mbele ya Liverpool na ilitwaa taji la Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga. Benzema,…

Read More

KIMATAIFA YANGA MIKONONI MWA WAARABU

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho, Yanga wamepangwa kucheza na Club Africain kutoka Tunisia. Ni kwenye michezo ya mtoano kutafuta timu zitakazoingia hatua ya makundi ya michuano hiyo ambayo ni ya pili kwa ukubwa  kwa ile inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika, (Caf) Mechi ya kwanza mtoanoinatarajiwa kuchezwa Novemba 02, Uwanja wa  Benjamin Mkapa na…

Read More

BEKI WA KUPANDA NA KUSHUKA SIMBA KUIWAHI DABI

NYOTA wa Simba, Shomari Kapombe anatarajiwa kuwa miongoni mwa wachezaji ambao wataanza maandalizi kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Simba na Yanga ambao ni watani wa jadi wanatarajiwa kumenyana Oktoba 23,2022 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huu unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa timu…

Read More

YANGA YASAINI MKATABA WA MIEZI SITA NA UNICEF

 KLABU ya Yanga imeingia mkataba wa miezi sita na Shirika la Umoja wa Mataifa la Unicef kwa ajili ya kutoa elimu na kuwapa taarifa Watanzania kuhusu Corona na namna ya kujikinga na kuchukua tahadhari kuhusu Ebola. Injinia Hersi Said Rais wa Yanga amesema kuwa ni furaha kubwa kwa ajili ya timu hiyo kuingia makubaliano na…

Read More

SIMBA INA KIBARUA KINGINE KIZITO KIMATAIFA

SIMBA imetinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya mabao 4-1 dhidi ya de Agosto ya Angola ina kibarua kingine kusaka nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali. Chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda ambaye ni mzawa mechi nne kashinda zote akishuhudia kipa namba moja Aishi Manula akitunguliwa bao moja. Ni Moses…

Read More

HAWA HAPA KUKUTANA NA YANGA CAF

BAADA ya kuondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika. Leo Oktoba 18,2022 inatarajiwa kuchezwa droo kwa ajili ya mechi hizo za mtoano ambapo Yanga itakutana na mojawapo kati ya timu 16 ambazo zimeshinda hatua ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga…

Read More

MJUE BINGWA WA BETI WA MILIONI 2 KWA MERIDIANBET USSD!

Wikiendi hii Meridianbet imeshuhudia bingwa mwingine wa ubashiri kwa USSD, ambaye amejikusanyia kitita cha shilingi milioni mbili kwenye ubashiri wake. Ungependa kufahamu zaidi juu ya ubashiri wake? soma hapa! Mteja wetu makini wa USSD, ambaye alibashiri bila intaneti kwa kupiga *149*10# alikuwa makini kujua historia za timu zinazocheza na kujiachia na machaguo mengi yaliyopo Meridianbet…

Read More