VIDEO:YANGA WAKIRI KUKUTANA NA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA

RAIS wa Yanga, Injinia Hers Said amesema matokeo ambayo wameyapata kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hayakuwa upande wao kwa kuwa walikuwa wanahitaji kusonga mbele lakini mazingira yalikuwa magumu sana na walikutana na ‘epsod’ yenyewe kuliko ile waliyopata St George. Yanga ilipoteza kw kufungwa bao 1-0 na kuifanya itolewe kwenye hatua ya kuelekea hatua ya Ligi…

Read More

YANGA NDANI YA DAR, MIPANGO YAO HII HAPA

KIKOSI cha Yanga kimewasili salama Dar leo Oktoba 17.2022 kikitokea Sudan ambapo kilikuwa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Hilal. Mchezo huo ulichezwa jana Oktoba 16,2022 na Yanga ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na kufanya ikwame kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Kwa matokeo hayo Yanga itashiriki Kombe la Shirikisho…

Read More

YANGA NGUVU ZOTE KOMBE LA SHIRIKISHO

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kwa sasa akili zote zinaelekezwa kwenye mechi za Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushindwa kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi iliondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya mabao 2-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan kwa kuwa mchezo…

Read More

IHEFU FC YAIPA KICHAPO DODOMA JIJI

DAKIKA 540 ambazo ni mechi sita, Ihefu ilicheza bila kuambulia ushindi ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Jana iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji ikiwa ni mchezo wa kwanza kwa kocha mpya Melis Medo aliyechukua mikoba ya Masoud Djuma. Uwanja wao wa nyumbani wa Highland Estate ulichezwa mchezo huo…

Read More

WAWAKILISHI WA KIMATAIFA YANGA KUREJEA DAR

BAADA ya kupoteza mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Al Hilal, kikosi cha Yanga leo kimeanza safari ya kurejea Tanzania. Msafara huo ambao uliongozana na viongozi utapitia Addis Ababa Ethiopia. Bado Yanga inabaki kwenye anga za kimataifa kwa kuwa imeangukia kwenye Kombe la Shirikisho Afrka. Inafanya zibaki timu…

Read More

MPANGO WA AZAM FC, KIPANGA KIMATAIFA IMEGOMA

MPANGO wa Azam FC kwenye mechi za kimataifa umegotea Uwanja wa Azam Complex licha ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Al Khadar ya Libya. Timu hiyo imeondolewa kwenye Kombe la Shirikisho kwa jumla ya mabao 3-2 kwa kuwa mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini Azam FC ilipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 na jana ilikuwa inahitaji…

Read More