HAYA HAPA MATOKEO MECHI ZA LEO LIGI KUU BARA

MATOKEO ya mechi za Ligi Kuu Bara leo Oktoba 15,2022 yapo namna hii:- KMC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro, mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Ni mabao ya Irahim Ame dakika ya 39 na Emmanuel Mvuyekule dakika ya 58. Kwa upande wa bao la Mtibwa Sugar mtupiaji ni Charlse…

Read More

YANGA WABANISHA UGUMU KUWAKABILI AL HILAL

ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho Oktoba 16,2022 baada ya ule wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao kusoma Yanga 1-1 Al Hilal. Alfajiri ya leo Oktoba 15,2022 kikosi cha Yanga kinachonolewa…

Read More

VIDEO:YANGA:UKWELI MCHUNGU, WATATU KUWAKOSA AL HILAL

ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa ukweli mchungu kwa timu hiyo kushindwa kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika jambo ambalo linawafanya wawafuate wapinzani wao wakiwa wanahitaji ushindi ndani ya dakika 90 bila hofu. Kamwe amebainisha kuwa kuna wachezaji watatu ambao watakosekana kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Sudan, Oktoba 16,2022

Read More

MBEYA CITY YAINYOOSHA POLISI TANZANIA

KIKOSI cha Polisi Tanzania kimeadhibiwa na nyota wa Polisi Tanzania ambao walikuwa kwenye kikosi hicho kwa nyakati taofauti na sasa wanapata changamoto mpya ndani ya Mbeya City. Kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Sokoine, baada ya dakika 90, ubao umesoma Mbeya City 3-1 Polisi Tanzania. Ni mabao ya Hassan Nassoro dakika ya…

Read More