KIKOSI cha Yanga alfajiri ya Oktoba 15,2022 wanatarajia kukwea pipa kuelekea nchini Sudan kwa ajili kuwakabili Al Hilal, Jumapili.
Hiki hapa kikosi kazi cha Yanga kinachotarajia kuibukia nchini Sudan:-
Makipa ni
Aboutwalib Mshery
Djigui Diarra
Eric Johora
Mabeki
Bakari Mwamnyeto
Yannick Bangala
Dickson Job
Ibrahm Abdullah, (Bacca)
Djuma Shaban
Kibwana Shomari
Mutambala Lomalisa
David Bryson
Viungo
Feisal Salum
Khalid Aucho
Gael Bigirimana
Zawad Mauya
Farid Mussa
Dickson Ambundo
Jesus Moloko
Tuisila Kisinda
Bernard Morrison
Washambuliaji
Stephen Aziz KI
Yusuph Athuman
Clement Mziza
Heritier Makambo
Fiston Mayele