
TIMU YA TAIFA YA TANZANIA YAANZA KOMBE LA DUNIA KWA MAUMIVU
TIMU ya taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 17 leo Oktoba 12,2022 imepoteza mchezo wa kwanza kwenye Kombe la Dunia dhidi ya Japan. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao wa Uwanja wa Pandit Jawaharlal Nehru umesoma Japan 4-0 Tanzania. Shiragaki alifunga bao la ufunguzi kipindi cha kwanza na kufanya dakika 45 kukamilika Japan…