ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amebainisha kuwa Yanga ni kubwa kuliko Al Hilal, Jumamosi, Yanga itamenyana na Al Hilal, Uwanja wa Mkapa, Oktoba 8 ambapo amesema kuwa kiingilio kimeshshuwa ili kuhakikisha kila shabiki anafika kuishangilia timu hiyo