SportsVIDEO: CHEKI MASTAA SIMBA WALIVYOREJEA DAR Saleh2 years ago01 mins MASTAA wa Simba tayari wamereja Dar wakitokea Mbeya walipokuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons na ulikuwa mchezo wa kwanza kwa Kocha Mkuu, Juma Mgunda kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa ligi Post navigation Previous: WINGA WA SPIDI KISINDA KUKIWASHA YANGANext: CR 7, SANCHO WAWAPA FURAHA MASHABIKI UNITED