KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda leo kinakazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons ambao nao wanazitaka pia.
Hiki hapa kikosi cha kwanza kinachotarajiwa kuanza, Uwanja wa Sokoine:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Mohamed Hussein
Kennedy Juma
Henock Inonga
Jonas Mkude
Clatous Chama
Mzamiru Yassin
Habib Kyombo
Moses Phiri
Pape Sakho
Akiba
Beno
Israel
Onyango
Nyoni
Kapama
Okra
Okwa
Dejan
Kibu