MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali, Big Bullets 0-1 Simba.
Ni mchezo wa kwanza kwa Kocha Mkuu, Juma Mgunda kukamilisha dakika 45 akishuhudia bao la Moses Phiri dakika ya 28.
Bao hilo amefunga kwa mtindo wa acrobatic akiwa ndani ya 18 kwenye mchezo huo wenye ushindani mkubwa