RATIBA YA MECHI ZA YANGA SEPTEMBA

HII hapa ratiba ya Yanga, ndani ya mwezi Septemba mechi za kitaifa na kimataifa zipo namna hii:-

 Septemba 6,2022, Uwanja wa Mkapa, saa 1:00 usiku.

Septemba 10,2022, Uwanja wa Azam Complex, saa 10:00 jioni, Zalan v Yanga mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Septemba 13,2022, Uwanja wa Mkapa, Yanga v Mtibwa Sugar, saa 1:00 usiku.

Septemba 17,2022, Uwanja wa Mkapa, Yanga v Zalan, Uwanja wa Mkapa, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Septemba 29,2022, Ihefu v Yanga, Uwanja wa Highland Estate.