VIDEO:KMC WATAJA SABABU ZA KUWATEMA MASTAA WAO, YAWATAJA YANGA

OFISA Habari wa KMC, Christina Mwagala ameweka wazi kuwa sababu ambazo zimewafanya waweze kuwaondoa baadhi ya wachezaji katika kikosi hicho ni kufanya mabadiliko huku akibainisha kuwa mechi yao ya kirafiki dhidi ya Yanga licha ya kufungwa mabao 2-1 vijana wao walicheza pira la maana na kuwaachia salumu Yanga