KUKAMILISHA usajili wa nyota Tuisila Kisinda ambaye ni kiungo kunaongeza nguvu kwenye kikosi hicho kwenye mechi za ushindani.
Huenda Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi akaamua kuanza na nyota wake wapya amoja na wale ambao walikuwa na kikosi hicho kwa msimu uliopita wa 2022/23 kwenye mchezo wake mmoja wa ligi ama kitaifa.