WAKATI Simba Queens wakitwaa Ubingwa wa Ligi ya Wanawake CAF kwa ukanda wa CECAFA na kukata tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake, kati kuna kiungo wa kazi chafu anaitwa Mariam Nasri.
Tupo naye kwenye mwendo wa data nyota huyu wa Simba Queens dakika zake 90 mbele ya She Coprote katika mchezo wa fainali Uwanja wa Azam Complex Agosti 27,2022:-