
VIDEO:CEO SIMBA ABAINISHA KUWA SIMBA NI KIMATAIFA ZAIDI
MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amebainisha kuwa kwenye mashindano ya kimataifa wanakwenda kufanya vizuri na wamejipanga kushinda na kwa uzoefu ambao wameweza kupata ni jambo la msingi kuangalia namna ya kuweza kuwauza wachezaji ikiwa watapata ofa hawana lengo la kuwazuia