TENGENEZA MKWANJA KUPITIA MCHEZO WA FOXPOT

Zaidi unakuwa kwenye nafasi nzuri ya kushndinda Bonasi, Mizunguko ya bure na Jackpot kibao kwenye sloti ya Foxpot, na kasino ya Meridianbet. Fahamu Kuhusu Sloti ya Foxpot Unapoitazama sloti hii ya Foxpot, utashangazwa wapi hizi shilingi zinatoka. Jibu ni rahisi sana, sloti hii ya Foxpot inakujia na Jackpoti tatu kubwa na Mbweha akiwa kama alama…

Read More

MZEE WA KUCHETUA BM ZALI LAKE LIPO HAPA

KIUNGO mshambuliaji ndani ya kikosi cha Yanga, Bernard Morrison ana zali na Coastal Union akiwa na uzi wa timu mbili tofauti kwa kuwatungua bao lake la kwanza.  Raia huyo wa Ghana, msimu wa 2021/22 alikuwa akivaa uzi wenye rangi nyekundu na nyeupe alipokuwa ndani ya kikosi cha Simba na msimu huu wa 2022/23 uzi wake…

Read More

KOCHA YANGA AITAMANI REKODI YA SIMBA CAF

KOCHA wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nienov, ameweka wazi kuwa, ndoto yake ni kuona anafikia rekodi aliyoiweka akiwa na Simba ya kufika angalau robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Mbrazili huyo ameweka wazi kuwa, wana nafasi kubwa ya kufikia mafanikio hayo kutokana na ubora wa kikosi walichonacho msimu huu. Katika michuano…

Read More

KIUNGO MNIGERIA MAMBO SAFI SIMBA, MWENYEWE AZUNGUMZA

KOCHA Mkuu wa Simba, Mserbia, Zoran Maki, amebadili uamuzi na haraka amembakisha kiungo wake mkabaji, Mnigeria, Victor Akpan kwa ajili ya kuendelea kuicheza timu hiyo. Hiyo ikiwa ni siku moja tangu kocha huyo achukue uamuzi wa kuwaacha nyota wake watatu ambao John Bocco, Nassoro Kapama na Akpan. Akpan ni kati ya wachezaji ambao awali waliondolewa…

Read More

TATU ZA KIMATAIFA SIMBA KUCHEZA, KUIBUKIA SUDAN

KIKOSI cha Simba kitakuwa nchini Sudan kwa ajili michezo ya kimataifa ya kirafiki wakiwa wamealikwa kwenye michuano midogo iliyoandaliwa na Klabu ya Al Hilal. Mechi tatu za kimataifa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu itacheza wakati huu ligi ikiwa imesisimama kwa ajili ya mashindano ya CHAN, Zoran Maki akisaidiana na msaidizi mzawa Seleman Matola ni miongoni…

Read More