SAUTI:ISHU YA MANZOKI KUSAJILIWA YANGA IPO HIVI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amebainisha kuwa mchezaji Cesar Manzoki ni moja ya wachezaji wazuri huku akibainisha kuwa mpango wa kuweza kumsajili kwa sasa haupo labda kwa timu nyingine ambayo inahitaji saini yake