
VIDEO:SALEH JEMBE AFUNGUKIA ISHU YA MANZOKI KUJA SIMBA
MWANDISHI mkongwe kwenye ulimwengu wa michezo Saleh Jembe amebainisha kuwa aliongea na mshambuliaji wa Vipers SC Manzoki ambaye alimwambia anakuja ndani ya kikosi cha Simba na alitoa ahadi ya kuwa mfungaji bora, mshambuliaji huyo alikuwa anatajwa kuingia rada za Yanga.