PAPE Sakho kiungo wa Simba amefunga bao la kuongoza kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ambalo lilimshinda mlinda mlango namba moja wa Yanga Diarra Djigui.
Bao hilo linawafanya Simba wanaonolewa na Zoran Maki waende mapumziko wakiongoza bao moja dhidi ya Yanga,Agosti 13,2022 ilikuwa dk ya 16.