>

TIMU SABA KUSHIRIKI BONANZA MAALUMU LA TECHNO AUDITORS

JUMLA ya timu saba za Maveterans zitashiriki katika bonanza maalum la mpira wa miguu litakalofanyika leo Jumapili (Julai 31, 2022) kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama. Bonanza hilo limeandaliwa na taasisi ya ukaguzi wa mahesabu, ushauri wa kifedha, biashara na masuala ya kodi  ya Techno Auditors kwa kushirikiana na timu ya Kijitonyama Veterans. Mkurugenzi Mtendaji wa…

Read More

MKATABA WA MAYELE YANGA UPO NAMNA HII

HATIMAYE mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amevunja ukimya juu ya mkataba wake na Yanga, ambapo ameweka wazi kuwa yeye si mchezaji wa mkopo bali alisaini mkataba wa miaka miwili na bado amebakiza mwaka mmoja. Mayele alijiunga na Yanga Agosti 1, 2021 kwa mkataba wa miaka miwili akitokea katika Klabu ya AS Vita ya kwao DR…

Read More

LIVERPOOL YASHINDA TAJI BAADA YA MIAKA 16

 LIVERPOOL imetwaa taji la Ngao ya Jamii baada ya kuyeyuka kwa miaka 16 bila kutwaa taji hilo. Mara ya mwisho kuweza kutwaa taji hilo ilikuwa ni mwaka 2006 baada ya kushinda mabao 2-1 dhidi ya Chelsea. Usiku wa kuamkia leo Julai 31 imeweza kushinda kwa mabao 3-1 dhidi ya Manchester City. Mshambuliaji mpya wa Liverpool,…

Read More

NBC DODOMA MARATHON MGENI RASMI WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi katika toleo la tatu la NBC Dodoma Marathon. Ilikuwa ni Marathon iliyokuwa na ushindani mkubwa na ilivutia zaidi ya washiriki 4,000 kutoka nchi 8 tofautitofauti ambayo walishiriki.  Lengo kuu ni kutafuta fedha za kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi…

Read More

SIMBA DAY YAZINDULIWA LEO MBAGALA

ZIMEBAKI siku nane kuweza kufika Agosti 8/2022 ambayo itakuwa ni siku ya Simba Day leo Uongozi wa timu hiyo umeweza kuzindua rasmi Wiki ya Simba katika Viwanja vya Mbagala Zakhiem,Dar. Miongoni wa waliokuwepo kwenye uzinduzi huo ambao umehudhiuriwa na mashabiki wengi wa Simba ni pamoja na Mtendaji Mkuu wa Simba,Barbara Gonzalez. Kwa mujibu wa Meneja…

Read More

FAMILIA YAMUONDOA BOSI YANGA

SENZO Mbatha aliyekuwa Kaimu Mtendaji wa Yanga hataongeza mkataba mwingine wa kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mkataba wake unaisha leo Julai 31 na kwa mujibu wa Yanga ni kwamba Senzo hayupo tayari kuweza kuongeza mkataba mwingine kuendelea kuitumikia timu hiyo. Saabu ya yeye kuondoka Yanga ni masuala ya kifamilia hasa kuwa mbali nayo kwa muda akiwa…

Read More

SHINDA KIBINGWA NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET, CHEZA SLOTI YA DEUCES WILD POKER!

Una ufundi kiasi gani linapokuja suala la sloti za kasino ya mtandaoni? Huu ni uzoefu ambao unaweza kufurahia pale ukijaribu. Ukiwa una uhakika wa burudani na ushindi mkubwa. Nakumegea kipande cha sloti ya mtandaoni ya Deuces Wild Poker! Kuhusu Sloti ya Deuces Wild Poker – Ni Mtandaoni tu! Naam, usisubiri kuhadithiwa, linapokuja suala la ushindi….

Read More