
UZI MPYA WA YANGA UNAPATIKANA KILA KONA SASA
LEO Julai 28,2022 Yanga imezindua uzi mpya ambao unatarajiwa kutumika kwa msimu wa 2022/23. Kwa mujibu wa Rais wa Yanga,Injinia Hersi Said amesema kuwa uzi huo kwa sasa unapatikana Tanzania nzima. “Jezi yetu mpya ambayo tumeizindua kwa sasa inapatikana kila sehemu kwa wale wa Dodoma wasiwe na mashaka uzi wetu tayari umefika kila sehemu Watanzania…