SAUTI:AZAM FC MWENDO WA DOZI MISRI,MECHI ZAO HIZI HAPA

AZAM FC wakiwa wameweka kambi Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23 ni mwendo wa dozi kujiweka fiti zaidi.

Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit ameweka wazi kuwa kazi kubwa ambayo ipo kwa sasa ni maandalizi na watakuwa na mechi za kirafiki.

Program kila siku zinaendelea chini ya Kocha Mkuu Abdi Halim Moallin