YANGA:TUNAANZA NA SIMBA NGAO YA JAMII
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kukusanya mataji yote matatu iliyotwaa kwa msimu wa 2021/22. Ni Ngao ya Jamii Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho ambayo waliyatwaa msimu uliopita yote yalikuwa mikononi mwa Simba hivyo wanakazi ya kuweza kuyatetea kwa mara nyingine tena. Kaimu Mtendaji wa Simba,Senzo Mbatha amesema kuwa wanatambua…